Mhe. Hemd ameishukuru taasisi ya hayrat Foundation ya uturuki kwa kusaidia huduma mbali mbali za maendeleo kwa wananchi wa Zanzibar.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemd  Suleiman Abdulla, ameishukuru taasisi ya hayrat Foundation kutokana Nchini uturuki kwa jitihada zao za kusaidia huduma mbali mbali za maendeleo kwa wananchi wa Zanzibar. Mhe. Hemd alitoa pongezi hizo katika hafla ya ugawaji wa misahafu kwa ajili ya  wananfunzi wa madrasa kwa jimbo la chaani Mkoa